Leo Mrembo Faiza Ally Asie ishiwa na vituko amempiga video
mtoto wake Shasha akiwa analia huku akiomba atumiwe hela ya kusuka
nywele na kuipost instagram.....Kwenye video hiyo mtoto amesikika
akisema baba naomba ntumie hela nikasuke huku akibugujikwa na machozi,
na baada ya kusema hivyo Faiza amesikika akimuuliza Baba ako anaitwa
nani? mtoto akajibu 'Joseph ' Joseph nani? 'Mbilinyi' alafu akaendelea
akamwambia mtoto aseme mwambie leo mama hana hela!
Amepost video hiyo na kuandika maneno hayo hapo chini ya picha:
>> VISIT THIS WEBSITE FREQUENTLY TO GET MORE NEWS UPDATES.


Post a Comment